PENGUINE
HUYU NI NDEGE ANAYEISHI NCHI ZA BARAFU, SI HIVYO TU BALI HUPIGA MBIZI CHINI YA BAHARI KWA KASI YA AJABU SI MWINGINE BALI NI PENGUINE.NDEGE HUYU ANA MAMBO MENGI YA KUSHANGAZA KWA NAMNA ANAVYOISHI.SOMA UMFAHAMU NDEGE MWENYE MAAMUZI YA AJABU.
 |
HAWA NDIO PENGUINE WENYE UMBO KUBWA NA UZITO KULIKO WOTE.
(KING PENGUINE) |
Pinguine ni ndege mkubwa aliyepoteza uwezo wa kuruka,badala ya kuwa na mabawa ya kawaida, Pinguine ana Flippers.penguine ni miongoni mwa aina chache 20 za species,na karibu wote wanaishi Sourethern hemisphere,pembezoni mwa Antarctica,Pia wanapatikana South America,south Africa,New Zealand na maeneo mengi ya visiwa vya Pacifici.Penguine ni wepesi kuzoea mazingira na ndio sababu wanaweza kuonekana katika zoo mbalimbali,sea worlds’’around the world.
Galapagos penguin ni aina peekee ya penguin anaepatikana Northern hemisphere,Na ni mara chache kuenekana Southern Hemisphere ila tu pale chakula kinapopungua..
 |
| Penguine akipiga mbizi |
Penguine ni ndege wenye ujuzi mkubwa wa kuogelea,ana uwezo wa kuogelea kwa umbali wa mile 15 mpka 20 kwa saa. Na pia ana uwezo wakubana Pumzi kwa dakika 20 na kupiga mbizi chini zaidi kuliko ndege yeyote.
Uwezo mkubwa macho yao kuona vizuri ,huwasaidia kumuepuka adui wakati atafutapo cha chakula.Na huona vizuri zaidi chini ya maji kuliko nchi kavu,.Maadui wakubwa wa penguin ni pamoja na orcas ,seals, papa Nyoka orcas nK.
Penguine ni carnivores, ni ndege wanaokula viumbe wengine,hupendelea sana kula ,dagaa kamba,ngisi, samaki na .Shrimps ,Krill,squids,fish
Upekee wa rangi za manyoya yao ni kiini macho tosha wawapo majini,Weusi wa migongo yao ,huwakinga wao kutooneka vizuri na adui toka juu,kwa kuzingwa na weusi wa maji.Na weupe wa tumboni huwakinga kutoonekana na adui kutoka chini kwa kuwa umefanana madhari ya anga.hivyo huwa ngumu kuonekana kwa wepesi.
 |
| maelfu ya penguine |
Penguine ni miongoni mwa wananyama wanaoishi kijamii,wanaishi katika kundi kubwa la kijamii,maelfu ,lenye zaidi ya wanandoa elfu kumi.
Penguin huwasiliana kwa kuzalisha sauti tofauti tofaut,na huwasiliana pia kwa kuchezesha vichwa vyao na vibawa.
Manyoya ya penguin ni madogo na yamezungukwa na ngozi ya mafuta.Nje ya manyonya,kuna tabaka kubwa la ngozi na blubber ambalo humlinda awapo maeneeo yenye baridi kali.
 |
| emporio penguine |
Emperor na king penguin huwa hawatengenezi viota kwa ajili ya kutagia mayai,Ila jike hutaga yai moja tu,na kazi ya kulalia hufanya Dume mpaka kutotoa,Dume hulifunika yai kwa ngozi yake ya chinikiitwao Brood pouch,hulalia kati ya wiki 8 mpaka 10 .Kipindi cha kulalia dume hujinyima kula,na hivyo hupoteza uzito wa mwili wake kabla yakutotoa.
Inapotokea Penguine kapoteza mtoto ,basi huweza kuipa mtoto kutoka familia nyingine ya pengiune,
Fairy penguin ndio Jamii ndogo ya penguine kuliko zote kwa uzito na umbo,Ana uzito wa gramu 0.90 ambayo ni sawa na paund 2 .
Ila Emperor penguin ndio jamii ya penguin wakubwa kiuzito na mwili kuliko wote.wana uzito wa 40.9 amabyo ni sawa na pound 90.
 |
| yellow eyed penguine in group |
 |
| yellow eyed penguine |
Yellow eyed penguin,ni penguin pekee wanaopatikana New zealnd na miongoni mwa aina chache ya Species walibaki .Ni ndege takribani 5000 wanaoishi porini. zaidi ya aina 18 za penguin wanaojulikana ,aina 5 ziko mashakani kutoweka.
Penguine wanaishi kati ya umri wa miaka 15 mpaka 20.
MNYAMA MKUBWA WA BAHARI HAWAVUMI LAKINI WAMO SI NYANGUMI PEKEE BALI PIA.HUYU NI MIONGONI MWA WANYAMA WENYE UZITO MKUBWA WAISHIO BAHARINI
SEAL-SILI

Hawa ni wanyama wa bahari ambao wanaishi maeneo
mbalimbali ya bahari za duniani.wanaishi (survive) sehemu zote za ncha za dunia
 |
| HUKO INCHA YA DUNIA KWENYE BARIDI KALI |
ambazo ni sehemu hatari kwa wanyama wengine kuishi,na hata maeneo ya bahari joto(tropic water).
 |
| ELEPHANT SEAL |
Wanyama hawa
wamegawanyika katika makundi mawili,Kundi Moja ni lile la seal wenye
masikio,
 |
| SEAL MWENYE MASIKIO |
,na lingine ni lile lisilo na masikio( earless seal)hawa yaani Seal kawaida.

kwa ujumla kuna specie takribani
33 za Wanyama hawa.
Muda wao mwingi sana,Wanyama hawa huutumia majini.Seal hupevuka na kuanza kuzaa kwa mara ya kwanza wanapofikisha miaka 3 hadi 5,Ila kipindi cha kujamiana hutofautiana kati ya specie na specie,Hutokea sana ni mwishoni mwishoni mwa kipindi cha Kuchipua (spring season)na msimu wa kuzaana huwa (vuli majira ya kupukutika kwa majani(Autumn)
hujifungua mtoto mmoja .ila hutokea mara chache kuzaa mapacha,na hiyo ni kutokana na kutokuweza kuzalisha maziwa ya kutosha kutoka kwa mama yakayowatosheleza watoto wote.
Hujamiana tena baada ya wiki sita baada mtoto kuzaliwa,yai hurutubishwa na kujigawa,kisha husimama ukuaji wake kwa wiki cha kisha huendelea kukua.
huzaa watoto na huwalea pamoja hasa maeneo
ya pwani.
Ina fuko kubwa;linalofahamika kama Blubber
,ambalo nilenye mavuta
mengi ..gozi hilo ndio stock yao kubwa ya mafuta..huwasaidia wao kuwalinda dhidi ya kuganda kutokana na baridi kali kwenye mikondo ya maji baridi ama katika maeneo ya barafu.
 |
| MAELFU YA SEAL |
Wanyama hawa,huishi nchi kavu kwa makundi kubwa ya zaidi ya Seal elfu moja
 |
| SEAL NA MMMWANae |
Seal wanazalisha
maziwa kwa asilimia 50 ya fat.watoto wao hujipatia karibu pound 3 mpaka 5 kila
siku za maziwa ambayo ni sawa na lita 1.36 hadi 2.27.(watoto zinawatosha
karibu lita 3 -5 kwa siku za maziwa.
 |
| ELEPHANT SEAL |
Seal mkubwa ni
southern elephant ambae anafikia kiasi cha futi 13 urefu na uzito wa tone 2.
 |
| ELPHANT SEAL ANA UZITO WA TANI 2 |
ila
seal aliyemdogo kabisa ni Galpagos fur seal ambaye
anafikia urefu wa futi 4 na na uzito wa
pound 65 tu .
 |
| GALAPAGOS FUR |
Seal wanadamu nyingi
mwilini kuliko aina nyingine ya wanyama,since blood cells keep the oxygen,seal anaweza kuogelea umbali
mrefu kuliko aina zingine za wanyama.
 |
SEAL AKIPIGA MBIZI CHINI YA BAHARI
hali kabana pumzi pasi na kupumua kwa masaa mawili kama alivyorekodiwa na The animal world. |
wakati anapoogelea
hupunguza kiwango cha mapigo ya moyo kwa asilimia 50- 80,Wakati elphat seal
hupunguza kiwango cha mapigo ya moyo kwa karibu 112 mpaka 20-50 kipindi hicho cha kuogelea.
 |
| SEALS WAKIOGELEA CHINI KUTAFUTA CHAKULA |
Wakati watafutapo chakula kuna wakati wanyama hawa huweza kuogelea kwa
umbali wa futi 1000 hadi1300 kwenda chini kabisa ya bahari
 |
| White shark Akimla Seal |
Inchi takribani 9 zinajishughulisha na uwindaji wa seal ,ni pamoja na Russia,Namibia,Norway,Finland ,Sweden na Marekani,
Ila hasa hasa wa watoto wa seal
huwindwa na kuawa kikatili,kama unavyoona.
 |
| SEAL WAKIUA KWA KUPIGWA NA RUNGU LENYE INCHA KALI |
 |
| WAKIUA KIKATILI NAMNA HII |
Wanyama hawa hutia huruma sana wakati wakiua,Maana kutokana na uzito wao hawawezi hata kukimbia Bali hupiga kelele,za kijihami na kuomba msaada,lakini hakuna mwenye kutoa msaada wa kuokoa maisha yao hatimae hufa kwa kipigo cha kikatili.
 |
| WAKIPAKIWA KWENYE MELI NDOGO YA UVUVI |
 |
| BOTI LIKIPAKAIA MILI YA SEAL BAADA YA KUWAUA |
 |
| NA WENGINE WAKIPIGWA RISASI |
 |
| SEAL TAYARI WALISHAKATWA NYAMA |
hasa inchi za Canada na Greenland na soko kubwa la SEAL kutoka Canada lipo Norway.
Hii ni kutokana na kuhitajika kwa ngozi zao hutumia katika fashion industry na zaidi ya hapo ni kwa ajili ya mahitaji ya mafuta .
Uchafuzi wa mazingira
ya bahari has uvujaji wa oili kwenye vyombo vya bahari au kumwagwa kwa oil imekuwa ikiathiri maisha ya viumbe hawa.Wanya hawa umri wao sana huishi miaka takribani 30.
JELLY FISH
KUNA BAADHI YA VIUMBE WA BAHARI WANASHANGAZA HUWEZI AMMINI KAMA NI KIUMBE MPAKA UAMBIWE.
Usipotazama kwa umakini unaweza ukadhani ni ua Nzuri,Na hata ukitazama kwa umakini bado utadhani ni ua ,la Hili si ua Bali huyu ni moja viumbe wa bahari anayefahamika kama Jelly fish ni viumbe walioishi miaka milion 650 majini zaidi hata kabla ya dinosaur, kwa ufupi,nikupashe habari zake juu kiumbe huyu kidogo ni waajabu ,kwanza kabisa hana Kichwa, ubongo, ,moyo,masikio, miguu wala mifupa.

baadhi huyatoa mayai mdomoni kuendelea kuyarutubisha nje ya miili yao,na wengine huendelea kuyahifadhi mdomoni hadi yatakapokuwa tayari kiumbe kamili na kuanza kujitegemea.
 |
| KUNA ZAIDI YA SPECIE 1500 ZA VIUMBE HAWA WA BAHARI |
 |
| HILI SI UA BALI NI MIONGONI MWA VIUMBE WA BAHARI.NA HAWA NI JELLY FISH.UKWELI MUONEKANO WAO UNASHANGAZA KWELI. |
 |
| SPECIE HIZI ZIMEGAWANYIKA KATIKA MAKUNDI NA KILA KUNDI KUNA IDADI KADHAA ,VIUMBE HAWA WANASUMU HATARI.UKIWA UNAOGELEA TAFADHALI USIJE UKAMSHIKA. |
Kuna zaid ya aina 1500 za Jelly fish iankadilwa kuwa spicie 70 ndio wenye madhara kwa mwanadamu.
 |
| KANG'ATWA JELLY FISH MKONO |
 |
| KANG'ATWA NA JELLYFISH MGUUNI |
Na inakadilwa kuwa watu milion 150 Dunia kote hukumwa na Jelly fish na kiasi cha watu 200,000 hung'atwa kila mwaka Huko Frolida
 |
| HAYA NDIO MADHARA YA SUMU YA JELLYFISH |
na watu 500,000 huko chesa peake bay.
kipimo kimoja cha sumu ya jellyfish inauwezo wa kuua watu za ya 60,
 |
| jelly fish wakimzunguka muogeleaji. |
Record zinaonyesha kuwa jellfish wanaongoza kwa kusababisha vifo vya watu majini kuliko mauji yanayofanywa na papa kila mwaka.
 |
| AMKANYAGA JELLYFISH |
 |
| Chakula cha thamani jelly Huko Japani |
ingaje wana sumu inayoua ,ila bado baadhi ya inchi wamemfanyakiumbe huyu kuwa ni chakula pekee kitamu na cha thamani..
Ni yapi matibabu ya awali mara unapong'atwa na Jellyfish.tambua umuhimu wa huduma ya kwanya mara unapokumbwa na janga hili
BASI ENDELEA KUFUATILIA BLOG YETU ..UFAHAMU MENGI KUHUSU JELLY FISH.TABIA ZAKE NA MWENENDO MZIMA WA MAISHA YAKE.