UNDERTAKER
Kama
wewe utakuwa ni
mfuatiliaji mzuri wa mieleka ,Jina Undertaker Halitakuwa geni masikioni mwako,kwani mmoja kati ya wachezaji tishio katika industry ya Mieleka ,(wrestling)
mfuatiliaji mzuri wa mieleka ,Jina Undertaker Halitakuwa geni masikioni mwako,kwani mmoja kati ya wachezaji tishio katika industry ya Mieleka ,(wrestling)
![]() |
| Undetaker anavyokuja |
Kutokana na ujio wake Ulingoni mara Taa huzimika ghafla, zinapowashwa mara mtu yuko ndani ya Ulingo simchezo,sifa yake kubwa Huwa si muongeaji bali ni mtu wa Vitendo,amekuwa akifanya vizuri karibu Mapambano yake yote.
![]() |
Mara Undertaker Ulingoni
Undertaker
ni nani basi.(Ni mchezaji Mieleka wa kimarekani)na hilo ni jina lake bandia la(ulingoni)
|
| Undertaker kono la Chuma |
Undertaker jina lake halisi ni Mark Wiliam Calaway.kazaliwa 24
march 1965 Houston ,Texas Inchini Marekani.
Wazazi wake Baba ni bwana Frank Compton Calaway,na mama ni Betty Truby
Catherine.
Elimu yake ya secondary kaipatia katika shule ya secondary Waltrip High
school ambapo huko alikuwa member katika timu ya mpira wa rugby(america football)na
Basketball.
Ila alifanikiwa kugraduate 1983 na kisha kujiunga na chuo cha Angelina college,katika
mji wa Lufkin
texas on basketball scholarship.
![]() |
| Undertaker akicheza Basketball akiwa high school mwenye namba 33 kifuani kushoto. |
Mwaka 1985 alisajiriwa kwenye chuo cha Texas Wesleyan University ndani ya mji wa Fort Worth miongoni mwa miji mikubwa katika jimbo la Texas akichezea timu ya basketball,alikuwa
mtu muhimu kwenye sport management, Alicheza
nafasi ya kati kama mtu mwenye nguvu ,mrefu
na mwenye uzito kamili Big man ni mtu
muhimu mwenye sifa kati ya moja ya nafasi tano muhimu kwenye mchezo wa basketball toka mwaka 1985 mpaka 1986.
![]() |
| Undertaker in Basketball team. |
Ila ilipofika mwaka 1986 Undertaker aliachana na chuo na kujikita zaidi kwenye michezo ,Ukweli alipenda sana kuwa profession
basketball(mchezaji basketball) huko uraya ,kabla hajamua na kubadili fikra zake na kujikita katika mchezo wa mieleka(professional wrestling) mwalimu wake wa mieleka alikuwa ni Don Jardine.
Undertaker aliingia kwa mara ya kwanza ulingoni
kwenye (WCCW)World Class Championship Wrestling)akitumia
jina la Texas Red, ila alipoteza mechi hiyo alipopambana na Bruiser
Brody.hatimaye mwaka 1988 baada ya miaka minne ya Promotion,Alitoka
huko na kujiunga na Coninental Wrestling Association,ambapo alikuja kuwa sehemu ya United Wrestling.
![]() |
UNDERTAKER ALIYESIMAMA KWENYE HELL IN THE CAGE
|






