Jumapili, 4 Desemba 2016

KAMA WEWE NI MREFU BASI JUA KUNA WAREFU ZAIDI YAKO.TAZAMA

Mwenyezi Mungu kaumba wanadamu wenye mionekano tofauti kwa namna alivyotaka,kuna wembamba sana ,wafupi sana ,warefu sana,wanene sana.
Leo hii imekuwa nadra kumkukuta binadamu an urefu wa futi 7 nane na kuendelea ingawaje  wapo,kwa muonekano huu umekuwa ukiwashangaza watu,Ila inasemekana hapo nyuma binadamu warefu kuanzia futi saba kwenda juu walikuwepo.
Ndani ya karne hii ya Ishirini tunajaribu kuwa orodhoshea angalau masalio ya wanadamu warefu waliobahatiaka kuwa na sifa hizo. 

KUTOKA BRAZIL 
IMEZOELEKA KWA KUWA NI MINGONI MWA NCHI ZENYE WACHEZAJI NYOTA ULIMWENGUNI KWA KUSAKATA MPIRA .
MWANADADA HUYU ANATOKEA HUKO HUKO INAAMINIKA KUWA NI MINGONI MWA WATU WAREFU DUNIANI.


ELLISANY DA CRUZ SILVA NI MIONGONI WASICHANA WAREFU DUNIANI TOKA BRAZIL

IJ
Ellisany da Cruz silva ana urefu wa futi 6 na inchi 9 Ni mrefu kuliko Boyfriend wake bwana francinalndo  
kwenye pose tofauti
Changamoto watengeneza magari kuna haja ya kuunda gari lenye kuendana na umbile la mtu nao pia wanamahitaji,tazama Ellsany namana alivyokaa kwa tabu,miguu inagusa dashboard jamani.
kwenye pose la kusimama chini ya mti wakipiga picha na bofriend wake Francinaldo da silva carvalho
BOYFREND WAKE ANA UREFU WA FUTI 5 NA NCHI 4

NDIO UREFU KAMA HUU ADIMU
ILA NDIO ULIONIPA UMAARUFU  HADI DUNIA LEO INANITAMBUA.
ETI NINGEPATA VIPI UMAARUFU KAMA  NINGEKUWA NAYE.
NDIO MPENDEZA ILA PIKIPIKI MNAIONEA
LEO TUNAENDA KULA BATA WAPI.

         KOREA KASKAZINI
akikumbatiana na Rais wa korea kaskazini Kim Jong -un  
Ni mchezaji wa basket ball zamani huko korea kaskazini 
Ri Myong -hun Ni kijana toka korea kaskazini ana urefu wa 7 na inchi 8.5 ambayo ni sawa nasentimete 235 cm 

BRAZIL
JOELLSON DASLIVA.THE TALLEST MAN
 Bwana fernandes dasliva akipigwa picha huko Kwao Brazil
Jamaa Ana uref wa futi 7na inchi 8
JOELLISON FERNANES DASLIVAKWENYE POSE LA PIKPIKI.JAMANI SASA WAKUMBUKENI KUNDI HILI KATIKA VYOMBO VYA USAFIRI


ENDELEA KUFUATIALIA UJUE MAMBO MENGI YANAYOWAHUSU WATU HAWA ,NA NI VIPI WANAVYOJISIKIA KUNA MENGI YA KUJIFUNZA USIKOSEE....