
- LUGHA YA KICHINA NI LUGHA AMBAYO IMEKUWA IKIOGOPWA KUSOMWA NA WENGI ,NA WAKATI MWINGINE WAKIFANYA MZAHA KATIKA KUTAMKA MATAMSHI,LUGHA HII,TENA KATIKA HALI YA KIJELI,WAKIAMINI KAMA NI LUGHA ISIYOSOMEKA NA ISIYOELEWEKA.
USICHOKIJUA NI SAWA NA USIKU WA GIZA,ONDOKANA NA
- DHANA HIYO ,SI KWELI LUGHA HII HAKIKA INASOMEKA NA KWA WEPESI NA NI LUGHA AMBAO INAMPANGILIO MZURI TU,INAPOFUNDISHWA,CHA MSINGI NI KUFUATA MAELEKEZO KWANI MATAMSHI YAKE SI MAGUMU,KAMA UKIFUATA MAELEKEZO,WANAPOZUNGUMZA LUGHA HII WACHINA UNAWEZA FIKIRI WANAGOMBANA AU KUKARIPIANA,HAPANA BALI HIZO NI TONE(SAUTI),AMBAZO KILA LUGHA INAZO,

- HEBU NIKUFAMISHE LUGHA YA KICHINA INASAUTI(TONE)NNE{4}KUNA SAUTI YA KWANZA ,YA PILI , YA TATU NA YA NNE.HIVYO SAUTI UNAZOSIKIA ZIKITAMKWA KIAJABU AJABU,NDIVYO LUGHA YENYEWE INAVYOZUNGUMZWA NA SI VINGINEVYO

,KIMSINGI NI KUZOESHA ULIMI TARATIBU,MWISHONI UNAZOEA,NA UPANDE WA HERUFI PIA ZINASOMEKA INGAWAJE HUONEKANA KAMA MITI FULANI,
ISIYOELEWEKA,HAYA NI MAUMBO TU YA LUGHA KAMA ZILIVYO LUGHA ZINGINE,KWANI LUGHA HII AWALI HUFUNDISHWA KWA ALPHABET ZA KINGELEZA AMA (PIYING)KABLA YA KUANZA KUSOMA MUONDO NA MAUMBO YA LUGHA.BAADHI YA LUGHA ZINgINE ZENYE MAUMBO KAMA KAMA ILIVYO LUGHA YA KICHINA,NI PAMOJA NA LUGHA YA KIARABU,KIHINDI,KIKOREA,KIJAPANI NAKADHALIKA.
BAADA YA MAELEZO HAYO NATUMAINI SASA UTAKUWA TAYARI KUJIFUNZA LUGHA HII ONDOA SHAKA,HEBU KUMBUKA USEMI USEMAO "PENYE NIA KUNA NJIA".HIVYO NIA NI WEWE MSOMAJI NA NJIA NI KUSOMA.
JIFUNZE SASA TUANANZA NAMNA HII....
HAYA NI BAADHI YA MAJINA YA WANYAMA WA PORI KWA LUGHA YA
KICHINA.
Huyu unaemuona hapa ni Tembo,ama Ndovu,kama anavyofahamika katiak lugha ay Kiswahili,kwa kingeleza wanamwita Elephant,je kwa lugha ya kichina na itwaje,ondoa shaka,mnyama huyu kwa Lugha ya kichina anaitwa.(Xiàng)ukipenda Ndovu.
 |
|
Xiàng = tembo
mnyama wa pili si mwingine Bali ni simba ama mafalme wa nyika ambayo Waingeleza wanamuita Lion ila katika lugha ya kichina anaitwa ShĪzi
ShĪzi= simba- a lion
HAYA NI BAADHI YA MAANDISHI KATIKA LUGHA YA KICHINA NAMNA YANAVYOANDIKWA .UKITAKA KUSEMA KITABU KWA LUGHA YA KICHINA UTASOMA KAMA HIVI Shu,
alama hiyo hapo juu ya U ya mstari,inaashiria kuvuta.(Shuuu)kwa kingeleza book kiswahili Kitabu.
AMA UKITAKA KUTAMKA CHUMBA AMA NYUMBA INAANDIKWA NAMAN HII NA KUSOMWA NAMANA HII FAANG.
Alama hiyo uionayo juu herufi A inashiria kutamka kwa kupandisha sauti juu.
Hawa ni baadhi ya Mastaa maarufu Duniani wa kichina wanaoongea Lugha ya kichina
 |
| BRUCE LEE |
 |
| JACK CHAIN |
 |
| JET LEE |
ENDELEA KUFAUTILIA LUGHA HII YA KICHINA UTAJIFUNZA MENGI.Amshapopo.Amazing!!!!