Kipengele hiki kinawahusu wale ambao wanataka kujifunza majina ya vitu mbalimbali kwa lugha za kigeni,Ila kwa wewe ambaye hupendi kujifunza mambo mapya katika lugha ya lugha za wenzako kipengele hiki si chako,ni faida kwa wale wanaofahamu Lugha moja kati ya hizi tatu natumaini mtaweza kujifunza na kufahamu kwa lugha yako ya Taifa.Sana tunalenga kuwajulisha baadhi ya vitu katika lugha ya kichina,tukitumia mfumo wa Pinyin ni alphabeti za kichina kwa kingeleza(alphabet)ambazo hukurahisishia usomaji na hivyo kujifunza kwa wepesi kabla ya kusoma herufi zenyewe za maumbo ya kichina.Basi Leo hii tunaangalia baadhi ya majina ya viumbe wa bahari kwa lugha ya kichina.Ukweli lugha hii inasomeka ,Ondoa wasiwasi,Hebu tuungane kwa pamoja kuafuatilia...
![]() |
| ZHANG YU-PWEZA |
zhang yu < octopus > Pweza
kichina>kingeleza <kiswahili
![]() |
| Sha yu-Papa |
Kichina kingeleza<kiswahili
Sha yu <shark> Papa


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni