Mwenyezi Mungu kaumba wanadamu wenye mionekano tofauti kwa namna alivyotaka,kuna wembamba sana ,wafupi sana ,warefu sana,wanene sana.
Leo hii imekuwa nadra kumkukuta binadamu an urefu wa futi 7 nane na kuendelea ingawaje wapo,kwa muonekano huu umekuwa ukiwashangaza watu,Ila inasemekana hapo nyuma binadamu warefu kuanzia futi saba kwenda juu walikuwepo.
Ndani ya karne hii ya Ishirini tunajaribu kuwa orodhoshea angalau masalio ya wanadamu warefu waliobahatiaka kuwa na sifa hizo.
KUTOKA BRAZIL
IMEZOELEKA KWA KUWA NI MINGONI MWA NCHI ZENYE WACHEZAJI NYOTA ULIMWENGUNI KWA KUSAKATA MPIRA .
MWANADADA HUYU ANATOKEA HUKO HUKO INAAMINIKA KUWA NI MINGONI MWA WATU WAREFU DUNIANI.
ELLISANY DA CRUZ SILVA NI MIONGONI WASICHANA WAREFU DUNIANI TOKA BRAZIL
IJ |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni