Alhamisi, 15 Desemba 2016

JIFUNZE MAJINA YA WANYAMA WA BAHARI KWA LUGHA YA KICHINA


    Kipengele hiki kinawahusu wale ambao wanataka kujifunza majina ya vitu mbalimbali kwa lugha za kigeni,Ila kwa wewe ambaye hupendi kujifunza mambo mapya katika lugha ya lugha za wenzako kipengele hiki si chako,ni faida kwa wale wanaofahamu Lugha moja kati ya hizi tatu natumaini mtaweza kujifunza na kufahamu kwa lugha yako ya Taifa.Sana tunalenga kuwajulisha baadhi ya vitu katika lugha ya kichina,tukitumia mfumo wa Pinyin ni alphabeti za kichina kwa kingeleza(alphabet)ambazo hukurahisishia usomaji  na hivyo kujifunza kwa wepesi kabla ya kusoma herufi zenyewe za maumbo ya kichina.Basi Leo hii tunaangalia baadhi ya majina ya viumbe wa bahari kwa lugha ya kichina.Ukweli lugha hii inasomeka ,Ondoa wasiwasi,Hebu tuungane kwa pamoja kuafuatilia...


ZHANG YU-PWEZA
        zhang yu  < octopus  > Pweza

   kichina>kingeleza <kiswahili


Sha yu-Papa
Kichina kingeleza<kiswahili
Sha yu <sharkPapa     


JE UNAYAJUA MAISHA YA WANYAMA BAHARI .. TABIA ZAO,VYAKULA WANAVYOKULA,MAKAZI NA NAMNA WANAVYOWEZA KUJILINDA.BASI JIFUNZE HAPA.


                         PENGUINE


 HUYU NI NDEGE ANAYEISHI NCHI ZA BARAFU, SI HIVYO TU BALI HUPIGA MBIZI CHINI YA BAHARI KWA KASI YA AJABU SI MWINGINE    BALI NI PENGUINE.NDEGE HUYU ANA MAMBO MENGI YA KUSHANGAZA KWA NAMNA ANAVYOISHI.SOMA UMFAHAMU NDEGE MWENYE MAAMUZI YA AJABU.
HAWA NDIO PENGUINE WENYE UMBO KUBWA NA UZITO KULIKO WOTE.
 (KING PENGUINE)

   Pinguine ni ndege  mkubwa aliyepoteza uwezo wa kuruka,badala ya kuwa na mabawa ya kawaida, Pinguine ana Flippers.penguine ni miongoni mwa aina chache 20 za species,na karibu wote wanaishi Sourethern hemisphere,pembezoni mwa Antarctica,Pia wanapatikana South America,south Africa,New Zealand na maeneo mengi ya visiwa vya Pacifici.Penguine ni wepesi kuzoea mazingira na ndio sababu wanaweza kuonekana katika zoo mbalimbali,sea worlds’’around the world.
  Galapagos penguin ni aina  peekee ya penguin anaepatikana Northern hemisphere,Na ni mara chache  kuenekana Southern Hemisphere ila tu pale chakula kinapopungua..




Penguine akipiga mbizi

   Penguine ni ndege wenye ujuzi mkubwa wa kuogelea,ana uwezo wa kuogelea kwa umbali wa mile  15 mpka 20 kwa saa. Na pia ana uwezo wakubana Pumzi kwa dakika 20  na kupiga mbizi chini zaidi kuliko ndege yeyote.
 Uwezo  mkubwa macho yao kuona vizuri ,huwasaidia kumuepuka adui wakati atafutapo cha chakula.Na huona vizuri zaidi chini ya maji kuliko nchi kavu,.Maadui wakubwa wa penguin ni pamoja na orcas ,seals, papa  Nyoka orcas nK.
Penguine ni carnivores, ni ndege wanaokula viumbe wengine,hupendelea sana  kula ,dagaa kamba,ngisi, samaki  na .Shrimps ,Krill,squids,fish
  Upekee wa rangi za manyoya yao ni kiini macho tosha wawapo majini,Weusi wa migongo yao ,huwakinga wao kutooneka vizuri na adui toka juu,kwa kuzingwa na weusi wa maji.Na weupe wa tumboni huwakinga kutoonekana na adui kutoka chini kwa kuwa umefanana madhari ya anga.hivyo huwa ngumu kuonekana kwa wepesi.





maelfu ya penguine

Penguine ni  miongoni mwa wananyama wanaoishi kijamii,wanaishi katika kundi kubwa la kijamii,maelfu ,lenye zaidi ya wanandoa elfu kumi.
Penguin huwasiliana kwa kuzalisha sauti tofauti tofaut,na  huwasiliana pia kwa kuchezesha vichwa vyao na vibawa.
    Manyoya ya penguin ni madogo na yamezungukwa na ngozi ya mafuta.Nje ya manyonya,kuna tabaka kubwa la ngozi na blubber ambalo humlinda awapo maeneeo yenye  baridi kali.



emporio penguine
       Emperor na king penguin huwa hawatengenezi viota kwa ajili ya kutagia mayai,Ila jike hutaga yai moja  tu,na kazi ya kulalia hufanya Dume mpaka kutotoa,Dume  hulifunika yai kwa ngozi yake ya chinikiitwao Brood pouch,hulalia kati ya wiki 8 mpaka 10 .Kipindi cha kulalia dume hujinyima kula,na hivyo hupoteza uzito wa mwili wake kabla yakutotoa.
       Inapotokea Penguine kapoteza mtoto ,basi huweza kuipa mtoto kutoka familia nyingine ya pengiune,
       Fairy penguin ndio Jamii ndogo  ya penguine kuliko  zote kwa uzito na umbo,Ana uzito wa  gramu 0.90 ambayo ni sawa na paund 2 .
   Ila Emperor penguin ndio jamii ya penguin wakubwa kiuzito na mwili kuliko wote.wana uzito wa 40.9 amabyo ni sawa na pound 90.


yellow eyed penguine in group
yellow eyed penguine

       Yellow eyed penguin,ni penguin pekee wanaopatikana New zealnd na miongoni mwa aina chache ya Species walibaki .Ni ndege takribani 5000 wanaoishi porini. zaidi ya aina 18 za penguin wanaojulikana ,aina 5 ziko mashakani kutoweka.
Penguine wanaishi kati ya umri wa miaka 15 mpaka 20.



MNYAMA MKUBWA WA BAHARI HAWAVUMI LAKINI  WAMO SI NYANGUMI PEKEE BALI PIA.HUYU NI MIONGONI MWA WANYAMA WENYE UZITO MKUBWA WAISHIO BAHARINI
                SEAL-SILI


Hawa ni wanyama wa bahari ambao wanaishi maeneo mbalimbali ya bahari za duniani.wanaishi (survive) sehemu zote za ncha za dunia
HUKO INCHA YA DUNIA KWENYE BARIDI KALI


 ambazo ni sehemu hatari kwa wanyama wengine kuishi,na hata maeneo ya bahari joto(tropic water).

ELEPHANT SEAL
    Wanyama hawa wamegawanyika katika makundi mawili,Kundi Moja ni lile la seal wenye masikio,


SEAL MWENYE MASIKIO

,na lingine ni lile lisilo na masikio( earless seal)hawa yaani Seal kawaida.
 kwa ujumla kuna specie takribani 33 za Wanyama hawa.
 Muda wao mwingi sana,Wanyama hawa huutumia majini.Seal hupevuka na kuanza kuzaa kwa mara ya kwanza wanapofikisha miaka 3 hadi 5,Ila kipindi cha kujamiana hutofautiana kati ya specie na specie,Hutokea sana ni mwishoni mwishoni mwa kipindi cha Kuchipua (spring season)na msimu wa kuzaana huwa (vuli majira ya kupukutika kwa majani(Autumn) 
hujifungua mtoto mmoja .ila hutokea mara chache kuzaa mapacha,na hiyo ni kutokana na kutokuweza kuzalisha maziwa ya kutosha kutoka kwa mama yakayowatosheleza watoto wote.
 Hujamiana tena baada ya wiki sita baada  mtoto kuzaliwa,yai hurutubishwa na kujigawa,kisha husimama ukuaji wake kwa wiki cha kisha huendelea kukua.





huzaa watoto na huwalea pamoja hasa maeneo ya pwani.
Ina fuko kubwa;linalofahamika kama Blubber



 ,ambalo nilenye mavuta mengi ..gozi hilo ndio stock yao  kubwa ya mafuta..huwasaidia wao kuwalinda dhidi ya kuganda kutokana na baridi kali kwenye mikondo ya maji baridi ama katika maeneo ya barafu.
MAELFU YA SEAL


 Wanyama hawa,huishi nchi kavu kwa makundi kubwa ya zaidi ya Seal elfu moja


SEAL NA MMMWANae
 Seal wanazalisha maziwa kwa asilimia 50 ya fat.watoto wao hujipatia karibu pound 3 mpaka 5 kila siku za  maziwa ambayo ni sawa na lita 1.36 hadi 2.27.(watoto zinawatosha karibu lita 3 -5 kwa siku za maziwa.



ELEPHANT SEAL
 Seal mkubwa ni southern elephant ambae anafikia kiasi cha futi 13 urefu na uzito wa tone 2.
ELPHANT SEAL ANA UZITO WA TANI 2

ila seal aliyemdogo kabisa ni  Galpagos fur seal ambaye anafikia  urefu wa futi 4 na na uzito wa pound 65 tu .


GALAPAGOS FUR
 Seal wanadamu nyingi mwilini kuliko aina nyingine ya wanyama,since blood cells keep the oxygen,seal anaweza kuogelea umbali mrefu kuliko aina zingine za wanyama.


SEAL AKIPIGA MBIZI CHINI YA BAHARI 
hali kabana pumzi pasi na  kupumua kwa masaa mawili kama alivyorekodiwa na The animal world.


 wakati anapoogelea hupunguza kiwango cha mapigo ya moyo kwa asilimia 50- 80,Wakati elphat seal hupunguza kiwango cha mapigo ya moyo kwa karibu 112 mpaka 20-50 kipindi hicho cha kuogelea.


SEALS WAKIOGELEA CHINI KUTAFUTA CHAKULA

 Wakati watafutapo chakula kuna wakati wanyama hawa huweza kuogelea kwa umbali wa futi 1000 hadi1300 kwenda chini  kabisa ya bahari 

 Karibu kila kiumbe kuna aina ya chakula hupendelea kula kwa Upande wa Seal sana,Vyakula vyao vikuu ni pamoja na Samaki


SEAL AKILA SAMAKI

 Wanyama wengine ni Pweza,
SEAL AKIJIPATIA KITOWEO CHAKE CHA PWEZA

KAA AKILIWA NA SEAL

Pamoja na ndege aina ya penguine ndege waishio kanda za baridi nchi kavu na majini.

PENGUINE AKILIWA NA  SEAL
Ila wakati mwingine huwashambulia na kuwaua papa wadogo na kuwafanya kitoweo. 




SEAL AKIMSHAMBULIA PAPA





  Seal ana amasharubu
whiskers ambayo huwasadia wao kutambua mtikisiko wa kitoweo(prey
 chini ya maji.



SEAL WHISKERS SHARUBU
  Kama ilivyo kwa wanyama wengine wa bahari Hula,nao pia Huliwa.maadui wakubwa wa SEAL niOrcas,Ni jamii ya papa wakubwa wenye rangi nyeupe na nyeusi.
SEAL AKIKATWA VIPANDE KABAL YA KUMEZWA
(white bear)Ama dubu mweupe hawa ni Dubu wanaishi sehemu za icha za dunia huko kwenye milima ya barafu na pembezo mwa bahari kubwa.
AKITAFUNWA KABISA SEAL


SEAL BAADA YA KUAWA
Na Papa mweupe ukipenda (white shark ni mingoni mwa maadui wakubwa sana wa seal,mara awaonapo hukosa amani kabisa.


White shark Akimla Seal

Inchi takribani 9 zinajishughulisha na uwindaji wa seal ,ni pamoja na Russia,Namibia,Norway,Finland ,Sweden na Marekani,
Ila hasa hasa wa watoto wa seal
huwindwa na kuawa kikatili,kama unavyoona.

SEAL WAKIUA KWA KUPIGWA NA RUNGU LENYE INCHA KALI

WAKIUA KIKATILI NAMNA HII
Wanyama hawa hutia huruma sana wakati wakiua,Maana kutokana na uzito wao hawawezi hata kukimbia Bali hupiga kelele,za kijihami na kuomba msaada,lakini hakuna mwenye kutoa msaada wa kuokoa maisha yao hatimae hufa kwa kipigo cha kikatili.
WAKIPAKIWA KWENYE MELI NDOGO YA UVUVI
BOTI LIKIPAKAIA MILI YA SEAL BAADA YA KUWAUA

NA WENGINE WAKIPIGWA RISASI

SEAL TAYARI WALISHAKATWA NYAMA

hasa inchi za Canada na Greenland na soko kubwa la SEAL kutoka Canada lipo Norway.
 Hii ni kutokana na kuhitajika kwa ngozi zao hutumia katika fashion industry na zaidi ya hapo ni kwa ajili ya mahitaji ya mafuta .


 Uchafuzi wa mazingira ya bahari has uvujaji wa oili kwenye vyombo vya bahari  au kumwagwa kwa oil imekuwa  ikiathiri maisha ya viumbe hawa.Wanya hawa umri wao sana huishi miaka takribani 30.


                      JELLY FISH

KUNA BAADHI YA VIUMBE WA BAHARI WANASHANGAZA HUWEZI AMMINI KAMA NI KIUMBE MPAKA UAMBIWE.

   Usipotazama kwa umakini unaweza ukadhani ni ua Nzuri,Na hata ukitazama kwa umakini bado utadhani ni ua ,la Hili si ua Bali huyu ni moja viumbe wa bahari anayefahamika kama Jelly fish ni viumbe walioishi miaka milion 650 majini  zaidi hata kabla ya dinosaur, kwa ufupi,nikupashe habari zake juu kiumbe huyu kidogo ni waajabu ,kwanza kabisa hana Kichwaubongo, ,moyo,masikiomiguu wala mifupa.

baadhi huyatoa mayai mdomoni kuendelea kuyarutubisha nje ya miili yao,na wengine huendelea kuyahifadhi  mdomoni hadi yatakapokuwa tayari kiumbe kamili na kuanza kujitegemea.

KUNA ZAIDI YA SPECIE 1500 ZA VIUMBE HAWA WA BAHARI
HILI SI UA BALI NI  MIONGONI MWA VIUMBE WA BAHARI.NA HAWA NI JELLY FISH.UKWELMUONEKANO WAO UNASHANGAZA KWELI.
SPECIE HIZI ZIMEGAWANYIKA KATIKA MAKUNDI NA KILA KUNDI KUNA IDADI KADHAA ,VIUMBE HAWA WANASUMU HATARI.UKIWA UNAOGELEA TAFADHALI USIJE UKAMSHIKA.
Kuna zaid ya aina 1500 za Jelly fish iankadilwa kuwa spicie 70 ndio wenye madhara kwa mwanadamu.
KANG'ATWA JELLY FISH MKONO
KANG'ATWA NA JELLYFISH MGUUNI
Na inakadilwa kuwa watu milion 150 Dunia kote hukumwa na Jelly fish na kiasi cha watu 200,000 hung'atwa kila mwaka Huko Frolida 
HAYA NDIO MADHARA YA SUMU YA JELLYFISH
na watu 500,000 huko chesa peake bay.
kipimo kimoja cha sumu ya jellyfish inauwezo wa kuua watu za ya 60,
jelly fish wakimzunguka muogeleaji.

Record zinaonyesha kuwa jellfish wanaongoza kwa kusababisha vifo vya watu majini kuliko mauji yanayofanywa na papa kila mwaka.


AMKANYAGA JELLYFISH

Chakula cha thamani jelly Huko Japani
ingaje wana sumu inayoua ,ila bado baadhi ya inchi wamemfanyakiumbe  huyu kuwa ni chakula pekee kitamu na cha thamani..

Ni yapi matibabu ya awali mara unapong'atwa  na Jellyfish.tambua umuhimu wa huduma ya kwanya mara unapokumbwa na janga hili



BASI ENDELEA KUFUATILIA BLOG YETU ..UFAHAMU MENGI KUHUSU JELLY FISH.TABIA ZAKE NA MWENENDO MZIMA WA MAISHA YAKE.